Msanii wa Bongo Fleva kutoka mji kasoro bahari Morogoro almaarufu kama
Afande Sele anayekubalika kwa mashabiki hata kwa wasanii wenzake kwa
kutoka na utunzi wake wa mashairi mazuri,sasa
latest info kutoka kwa
Afande Sele ni kwamba leo ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la
"Amani na Upendo" akiwa na
Koba MC.Baada ya hapo kupitia katika ukurasa wake wa Facebook aliweza kuandika huu ujumbe baada ya kuiachia ngoma hiyo mpya.
No comments:
Post a Comment