Friday, November 9, 2012

LORD EYES MWANASHERIA KUONGEA NA WAANDISHI WA HABARI KESHO KATIKA HOTELI YA WISTAZ SINZA

Kesho ni siku ambayo yale maswali mengi tuliyokuwa tunajiuliza kuhusu Tuhuma za wizi wa Power window zinazomuhusisha msanii kutoka katika kundi la Weusi Lord Eyes, zitapata majibu pale ambapo Lord Eyez alienda nje kwa dhamana akiwa na mwanasheria wake wataongea na waandishi wa habari katika hoteli inayoitwa Wistaz iliyoko sinza kuanzia saa tano asubuhi  na kuelezea mkasa wote  na kinachoendelea kwa sasa

No comments:

Post a Comment