Monday, November 5, 2012

CHECK OUT:HISIA ZA DULLY AKIWA ZAKE NDANI YA STUDIO

 
 Msanii wa bongo fleva almaarufu kwa jina la Dully sykes anayetamba na ngoma kama Biberon.Mtoto wa kariakoo, na nyingine ambayo amepewa shavu na Professor Jay katika ngoma ya Hello sasa
Latest info kutoka kwa msanii huyu siku za hivi karibuni alikuwa Bongo record akifanya ngoma yake mpya ambayo anatarajia kuiachia sasa wakati aki record ngoma hiyo mpya alionekana ana hisia fulani hivi za mziki ebu fanya kama unaangalia hiyo video halafu uone jinsi alivyofanya yake kweli Dully mtoto wa Ilala.

           

No comments:

Post a Comment