FID Q AJA NA IDEA MPYA KWA MASHABIKI WAKE
Msanii wa Bongo Fleva anayeondoka Style za HipHop almaarufu kama Fid Q msanii wa Ladha kali za Hip Hop anayesababisha mpaka mashabiki kupenda ngoma zake kama ielewe mitaa,Propaganda,Neno,na zinginezo kali sasaLatest Info kutoka kwa Fid Q ni kwamba sasa hivi alichoamua kufanya kwa mashabiki wake ni kwamba ameona atakuwa anatoa cover ambazo zitakuwa zina mashairi yake HipHop kwani alieleza kwamba kutokana mashabiki wengi pamoja na ma Professor wa Vyuo Kikuu kukubali kazi zake na ndiyo sababu kubwa mpaka kuchukua uamuzi huo wa kutoa cover ambazo zitakuwa na mashairi yake kama hiyo hapo juu.

No comments:
Post a Comment