Sunday, November 4, 2012

Habari

CHRIS BROWN KUPIGA SHOW KWENYE TUZO ZA KORA MWAKA HUU


  1.  Msanii mahiri kutoka marekani almaarufu kama Chris Brown baada ya kutamba na ngoma zake kadhaa hapa Africa kama Don't judge me,Strip,Yeah 3x. Sasa latest info nilizozipata baada ya kukuta hii picha katika mitandano na kusema kwamba inawezekana Chris brown akapiga show nchini Ivory Coast katika tuzo za kora baada ya kupiga picha na Ernest Adjovi ambaye ni mratibu wa tuzo KORA.
  2. C PWAA AMEACHIA NGOMA MBILI KWA WAKATI MMOJA

    Here are the two new fresh songs from Tanzania’s finest “CPwaa”. CPwaa hasn’t release any records since last year 2011 November when he released “Hhmm”. Now to please his fans, he is releasing double tracks!!. One a commercial song and one a bonus song for his royal “Crunk Customers” Here is the line up and the songs.
    1. Mission 12 O’Oclock - Ft. Anto’Neyo{The Artists}, Godzilla, One Incredable, Lord Eyez and Mabeste.
    Production: Middle Class Beats,St.Louis,USA
    Vocals: Classic Sounds, TANZANIA (Mona Gangstar)
    2. Mambo – ft. Anto’Neyo{The Artists}
    Production: Classic Sounds
    Producer: Mona Gangstar
    Hizo hapo ndiyo ngoma mbili za mtu mzima CPwaa.
     
     
  3.                                                                              

No comments:

Post a Comment