Tuesday, November 27, 2012

KWA MUJIBU WA MO NA GASTAR KUTOKA CLASSIC RECORD


Baada ya kutokea kifo cha msanii almaarufu Sharo milionea ,sasa kwa namna moja au nyingine wasanii mbalimbali na watu wote tumeguswa na msiba huu.Kwa mujibu wa producer Mona gastar leo asubuhi aliweza kuniambia kwamba studioni kwake kuna baadhi ya wasanii waliojitokeza kuja ku record ngoma kwa ajili ya kumuenzi Sharo Milionea.Baada ya hapo ndipo nikaona ujumbe kutoka Country Boy kupitia katika ukurasa wake wa Facebook huu hapa. its more about music industry and social issues in and out of bongo land

No comments:

Post a Comment