Wednesday, November 14, 2012




LADIES AND GENTLEMAN: HII NI HIT NYINGINE KUTOKA KWA ALI KIBA / MY EVERYTHING

Unakumbuka kuna story flani zilitoka kuwa mtu mzima Ali kiba soo atakuwa chini ya Sonny Music kama mwanadada Keko kutoka Uganda, sasa fununu nilizonazo ni kuwa jamaa kasha saini mkataba na Sonny.. na hii ni relese yake mpya na trust me kwa nilivyoisikiliza lazima ibambe.
sikiliza hapo chini kitu kinaitwa "my everything "

No comments:

Post a Comment