Friday, November 9, 2012

MAMA AJIFUNGUA OBAMA NA MITT ROMNEY

 
 Millicent Owuor akiwa amewabeba watoto wake wawili wakiume mapacha Barack Obama (kushoto) na Mitt Romney.

Mwanamke mmoja kutoka Siaya kenya amejifungua watoto mapacha wawili siku ambayo Obama alichaguliwa kwa mara ya pili kuendesha taifa la Marekani kama Raisi na kuwapa watoto wake majina yake na mpinzani wake Mitt Romney 
Millicent Owuor mwenye miaka 20  alijifugua watoto hao mapacha  katika hospitali ya wilaya ya  Siaya umbali kidogo kutoka katika kijiji walichoishi mababu zake na Obama kinachoitwa Kogelo ambapo sherehe za kumpongeza Obama zilikua zikiendelea

No comments:

Post a Comment