Thursday, November 22, 2012

P FUNK AFUNGUKA KUHUSIANA NA MIPANGO YAKE KATIKA GAME

Kama ulimiss kusikiliza 255 ya Deeandy leo kuhusiana na P Funk alichokizungumza kuhusu na kiwango cha muziki hapa Tzee,basi hii ndiyo time yako ya kusikiliza kile ambacho achokisema kuhusiana na mipango yake katika muziki wa hapa Bongo.

No comments:

Post a Comment