U HEEEEAAAARRRD!!!!!!! PROMOTA MATATANI BAADA KUSHINDWA KUMFIKISHA DIAMOND UJERUMANI

heheheeeee eti hili ni boooonge la changa la macho....inasemekana raia wa Africa Masahariki walio ughaibuni pande za Ujerumani wachukizwa na kitendo cha promota kutangaza ujio wa Diamond katika tamasha nchini humo na mwisho wa siku walitumia hel kibao bila ya kumuona Diamond...msikilize Gossip Cop Sudy Brown
No comments:
Post a Comment