Waumini wa dini ya Kislam wakiombea duwa jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Doto Kipenga
Bondia
wa timu ya Taifa Selemani Kidunda mbele akiwa amebeba jeneza lenye
mwili wa marehemu Doto Kipenga aliyekuwa bondia wakati wa uhai wake kwa
ajili ya maziko yaliyofanyika katika makabuli ya Kigogo Mburahati siku
ya Januar Mosi
Bondia
wa timu ya Taifa ya Masumbwi Selemani Kidunda akiwaongoza wenzie
kulibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Doto Kipenga aliyekuwa bondia
wakati wa uhai wake kwa ajili ya maziko yaliyofanyika katika makabuli ya
Kigogo Mburahati siku ya Januar Mosi
Bondia wa ngumi za kulipwaJaphert Kaseba
akiwaongoza wenzie kulibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Doto Kipenga
aliyekuwa bondia
wakati wa uhai wake kwa ajili ya maziko yaliyofanyika katika makabuli ya
Kigogo Mburahati siku ya Januar Mosi =
Bondia wa ngumi za kulipwaJaphert Kaseba
akiwaongoza wenzie kulibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Doto Kipenga
aliyekuwa bondia
wakati wa uhai wake kwa ajili ya maziko yaliyofanyika katika makabuli ya
Kigogo Mburahati siku ya Januar Mosi Picha na
No comments:
Post a Comment