| Wakati wa Idodi
jimbo la Isimani wakitazama gari la mkuu wa shule ya sekondari Idodi
Bw Raymond Mlaso lenye namba za usajili T 197 ANT ambalo lilitumbukia
katika daraja la Idodi tarafani bada ya fundi aliyekuwa akiendesha
gari hilo kutoka mjini Iringa kumshinda na kutumbukia katika daraja
hilo baada ya taili moja la mbele na moja la nyuma kupasuka |
No comments:
Post a Comment