Monday, January 7, 2013

DIAMOND KUFANYA NGOMA MPYA NDANI YA AM RECORD


 Diamond Platinum baada ya kutamba na ngoma kali kadhaa kama Nataka kulewa na Kesho,sasa ameamua kurudi tena kwa Manecky Am record na kufanya vitu vingine tofauti katika muziki wake.Hizi ni baadhi ya picha ambazo akiwa studioni akifanya ngoma hiyo mpya.Wale mashabiki wa Platinum huu ni ujumbe kutoka kwake baada ya kufanya ngoma hiyo.Leo tangia nimeamka nilikuwa na Mzuka wa kufanya ngoma...
Nikaona sio kesi ngoja nimvutie waya Maneck...
Eeeeh! nasasa hali iko hivi hapa Am Rec.
Ni moja ya wimbo wa tofauti sanaaaa..


No comments:

Post a Comment