HEMEDY PHD AKANUSHA KUMZUSHIA KIFO SAJUKI.
Tangu jana kitaani na kwenye mitandao ya kijamii
kumekuwepo na rumors juu ya kifo cha muigizaji na
Director wa filamu SAJUK, Kutokana na taarifa
hiyo lawama zote zikamuangukia Actor ambaye pia
ni mwimbaji wa Bongo Flava artist mtu mzima
Hmedy PHD ambaye inadaiwa ndiye aliyeandika
taarifa hizo kwa mara ya kwanza katika status yake
ya facebook kuwa eti SAJUK ameaga dunia.. Lakini
ndani ya XXL kwenye 255 alifunguka Hemedy PHD
akasema yeye hausiki kabisa nakuandika taarifa hizo
ila kuna mtu amefunguka page ya facebook kwa jina
lake Hemedy PHD kwa hiyo hajausika kabisa na
kuandika status hiyo.Chanzo :

No comments:
Post a Comment