Sunday, January 13, 2013

Pamoja na kwamba Rihanna na Chris Brown bado wanakiri kwamba ni marafiki wa karibu, urafiki wao ambao unawafanya waonekane pamoja sehemu nyingi wanazokwenda umefanya wengi waamini kwamba hawa jamaa wamerudi kwenye mapenzi, hii ni moja ya picha zao za hivi karibuni wakiwa pamoja

No comments:

Post a Comment