UPDATES:LULU MPAKA SASA HAJATIMIZA MASHARTI YA DHAMANA
Kwa habari ambazo zimetufikia ni kwamba baada ya Lulu kupata dhamana yake ya kuachiwa,lakini mpaka sasa ni kwamba hajaachiwa kwasababu ya taratibu za dhamana hazijakamilika.ili atoke inabidi masharti na taratibu za mahakama zifuatwe na ndipo kusainiwa na Msajili wa Mahakama Kuu.
Kwa leo asipoachiwa huenda akarudi tena segerea kutokana na taratibu hizo za mahakama ila kesho hatapelekwa tena Mahakamani kwa kusikiliza Dhamana yake.

No comments:
Post a Comment