Friday, September 13, 2013

JINSI YA KUUNGANISHA LAPTOP AU COMPUTER YAKO NA TV

Je ulishatamani kuangalia video za Youtube katika screen kubwa? Au ulishawahi kutamani kutumia screen ya TV yako kama monitor ya Computer au Laptop yako? Dunia hii ya sasa ni ya sayansi na teknolojia, So vitu vingi vinafanyika.

Basii sawa kuna njia nyingi za kuunganisha Computer au Laptop yako na Tv, Hii itategemeana na port zinazopatikana katika Computer, Laptop pamoja na TV yako. Kwa mfano wetu wa leo kuhusu jinsi ya kuunganisha computer au laptop yako na TV tutatumia Computer aina ya HP inayotumia mfumo wa Windows pamoja na TV aina ya Sony Bravia HDTV.

Hatua za kuunganisha laptop au computer yako na TV

Computer na Laptop nyingi za sasa zina S-Video port ambazo zinauwezo wa kuunganishwa na kiingizio cha S-Videokatika TV yako. Tutatumia waya wa S-Video kuunganisha Computer au Laptop yako kuunganisha na TV. Kuna aina mbili za waya wa  S-Video, Aina ya kwanza ni ile ya zamani ambayo inameno kumi na tano, na ina umbo bapa. Aina ya pili ni yenye meno saba ambayo ina umbo la duara. Waya hizi unaweza zipata katika maduka mbalimbali ya vifaa vya kielectroniki.

Laptop na TV nyingi za kisasa http://www.labnol.org/software/tutorials/how-to-connect-laptop-computer-tv-screen-lcd-hdtv/2331/

No comments:

Post a Comment