Sunday, September 15, 2013





      MAMA SABY FASHION




Duka la kisasa linalojishughulisha na uuzaji wa nguo,viatu,mikoba na vitu vya mitindo mbalimbali ya fashion la SADA  FASHIONI la Mjini DAR.,limetoa punguzo kubwa la bei katika majira ya mwezi wa tisa ili kila mmoja aweze kupendeza.Akizungumza na Blogu hii,Mkurugenzi wa duka hilo SADA KIPA amesema punguzo hilo limeanza tangu 11 na litamalizika DEC 1.Amesema bidhaa mbalimbali zipo dukani zikiwemo nguo  za wakubwa na wadogo pamoja na viatu.SADA amewaomba wakazi wote wa DAR pamoja na Mikoa mingine kwa ujumla kutembelea katika duka hilo ili waweze kujionea bidhaa bora zilizopo pamoja na punguzo la bei ama wawasiliane kwa kupiga simu namba 255717325171,au0782129604 ili kupata malekezo zaidi ya punguzo hilo...............HIZI NI BAADHI ZA NGUO ZIPATIKANAZO HAPO  KWA mama sabrina.

               



0717325171   karibuni sana




No comments:

Post a Comment