SAMAHANI PICHA HII INATISHA;AJALI MBAYA YAMKUTA MWENDESHA PIKIPIKI MAARUFU KAMA ASSECDO NI MITAA YA MIEMBENI BUKOBA
Ajali mbaya
yamkuta mwendesha pikipiki mjini bukoba maarufu kama Assecdo, na kupuata
madhara ya majeraha makubwa kichwani na mkononi kama inavyo onekana
katika picha.
Ni baada ya kupalamia ukuta wa duka la nyama lililopo mitaa ya miembeni Center usawa wa kutokea barabara ya bukoba sekondari
Mpaka anapelekwe hospital hali yake haikuwa nzuri,ni tukio la mchana wa jumamosi weekend hii.
hadi
tunaingia mitamboni atujapata habari zaidi kuhusiana na tukio hili na
ukweli ni kwamba hali ya biashara ni tete ndani ya Burchar hiyo .
Picha kwa hisani ya Mdau Jon Do Pesa na Bukoba wadau blog
Picha kwa hisani ya Mdau Jon Do Pesa na Bukoba wadau blog


No comments:
Post a Comment