| Jeshi
la polisi daresalam leo limefanikiwa kupambana na majambazi ambayo
yanadhaniwa kuiba pesa katika duka moja la kuuza vitu vya jumla na reja
reja huko vingunguti,taarifa zinasema kuwa mara baada ya kuiba wananchi
waliwazingira majambazi hayo na walipogumdua wameshakamatika waliamua
kurusha baadhi ya pesa kama sanda kalawe na ndipo wananchi walipoanza
kuzigombea zile pesa nakuwafanya wao kupata upenyo na kukimbia |
|
No comments:
Post a Comment