TAHADHARI TAHADHARI TAHADHARI KWA WAKAZI WA IRINGA....................................kumeingia wizi mdogomdogo wa simu ambao unajitokeza katika manispaa ya iringa.....kijana mmoja anayefahamika kwa jina la DAVID LAWA amekua kidokozi wa simu za mikononi katika maofisi na sehemu mbalimbali anavyokua muonekano wake ni mtanashati vizur na mwisho wa siku anakuomba simu ampige na kusema anaacha mizigo yake....na ukija kuangalia akiwa ameondoka unagundua ni mawe kwa hiyo kijana huyo anatafutwa na jeshi la polisi iringa kwa msaada wa picha yake ni hiii hapa chini
KWA MSAADA PIGA NAMBA...........0767115584..................ASANTENI

No comments:
Post a Comment