TAZAMA PICHA JINSI UWANJA WA NDEGE WA DAR ES SALAAM UTAVYOKUWA WA KISASA NA WAKUVUTIA MNO...!!
Pamoja
na kuzipata hizi picha kuna maswali unaweza kuwa nayo ikiwemo Idadi ya
ndege zitakazoweza kuhudumiwa kwenye uwanja huu mpya? utamalizika lini?
gharama yake na mengine…Naambiwa ujenzi wa huu uwanja unaambatana na ujenzi wa viwanja vingine katika baadhi ya mikoa ya Tanzania ikiwemo 87.8 Mbeya, 88.1 Mwanza na 89.2 Kigoma.





SOURCE: MILLADAYO.COM
No comments:
Post a Comment