TAZAMA PICHA ZA SIMBA ALIE SUMBUA NA KUUWA MIFUGO MJINI MOROGORO BAADA YA KUULIWA..!!
Kwa
kimombo
tunaiita 'life and death', Simba aliyetumia fursa vizuri kwa kujilia
mbuzi 47 ameyaonja mauti baada ya kupigwa hadi kufa na Askari
wanyamapri.
Simba
huyo ambaye amesumbua kwa muda mrefu Mkoani humo maaskari Wanyamapori
Mkoani Morogoro wamemwinda na kumuua simba huyo aliyetafuna mbuzi 47
katika Mlima Uluguru eneo la kijiji cha Bagilo kata ya Kinole, Tarafa ya
Mkuyuni Mkoani humo.Askari wanyamapori Wakimchuna ngozi simba






No comments:
Post a Comment