Hapa ni eneo la soko la Machinga Complex jijini Dar ambapo pamevunjwa
jana na uongozi wa jijini baada ya kujengwa choo kiholela eneo hilo
ambalo pia limekuwa likiongoza kwa kutumika kama gereji bubu
Fundi magari eneo hilo akishangaa kuona choo chao kimevunjwa
No comments:
Post a Comment