Monday, February 4, 2013

VIVUTIO VYA UTALII WILAYA YA MAKETE MKOA WA NJOMBE .....

 Aliyekuwa mkuu  wa wilaya ya Makete Hawa Ng'umbi akichimba viazi  pori aina ya Chikanda katika hifadhi  ya Kitulo Makete siku alipohamasisha  utalii  wa ndani kwa wanahabari ilikuwa mwaka 2010
 Maporomoko ya maji ya mto Kimani Makete
 Mkuu  huyo  wa wilaya hawa Ng'umbi akiwa jirani na maporomoko hayo
 Haya ni maua ya  hifadhi ya  Kitulo Makete
Mkuu  wa wilaya mstaafu  wa Makete  Hawa Ng'umbi aliyevalia  kimgambo akiwa na  wanahabari Iringa

No comments:

Post a Comment