SIKU YA WAPENDANAO YABADILISHA MJI WA IRINGA JANA
| Hapa |
Mr Gwivaha
Dogo wa bush ndani ya mjini
Mzee wa Mihuri eneo la M.R katokelezea
wa kitaa pia wamependeza kinoma noma
Denti kajiachia kivilee
Akina mama mpo ?
Umependeza mtoto!
Katibu wa UWT mkoa wa Iringa Christina Kibiki ametokelezea leo hakuna cha sare ya kijani ni simba tupu
Hapa vipi nayo inahusika hii ?
Duh! home wanazingua kweli kosa langu kupendeza leo! kamna anaongea vile
Leo ukipokea simu tu wanataka tutoke wote sasa sijui itakuwaje na mimi tayari nina wangu hapa?
Si lazima kuvaa nyekundu hata sisi tumetokelezea ama ?
| Hakuna aliyemechiucha zaidi yangu |
Kila kitu ni chekundu leo Iringa
Hapa kiatu tu kimemkosesha kutokelezea
Hapa vipi wadau
Mimi nitatoka nawe leo upo?basi gonga
Mtoto umleavyo ....?
Unaona ? hapa je?
| Leo ni siku ya nguo nyekundu |
| Veronica Mlungu katibu wa CWT mkoa wa Iringa amenoga kweli leo walimu mpo?kiongozi ni mfano |
No comments:
Post a Comment