HUYU NDIE MSAANI MPYA WA LABEL YA JAY_Z "ROC_NATION".

TIMBALAND
Rapper na Producer Timbaland amesaini mkataba na Record
lebel ya Jayz `Roc Nation' unaomtambulisha kama msanii chini ya lebel
hio.
Jay-Z ametangaza habari hizi kwenye mtandao wake wa Life +
Times kuwa Timbaland yupo chini ya Roc Nation na wanamkaribisha sana.
Jayz na
Timbaland wamefanya kazi Pamoja kwa Muda Mrefu, kama unakumbuka mwaka
1998
Timbaland alitengeneza wimbo wa Nigga What ,Nigga Who , Wakaja tena
kufanya Big
Pimpin ,Dirt Off Your Should na Off That ft Drake.
No comments:
Post a Comment