SAA CHACHE BAADA YA PAPA KUTANGAZA KUJIUZURU, RADI YAPIGA KANISA LA BASILICA ROMA

Je! Hii ni ishara kutoka kwa Mungu? Sababu amini usiamini saa kadhaa baada ya Papa Benedict XVI kutangaza kuwa atajiuzulu radi kubwa ilipiga kwenye kanisa la St Peter’s Basilica.

Papa huyo mwenye miaka 85 amekuwa kiongozi wa kanisa hilo tangu mwaka 2005.
No comments:
Post a Comment