Tuesday, February 5, 2013

PREZZO KUFUNGA NDOA NA GOLDIE FEBRUARY 9

Kwa mujibu wa mitandao mbalimbali ya nchini Nigeria,rapper Jackson Makini maarufu kama Prezzo anatarajia rasmi kufunga ndoa na mwanamuziki wa Nigeria Goldie February 9.
Baada ya taarifa hiyo kuendelea kuenea katika mitandao pia inasemakana kwamba harusi hiyo itanyika jijini Lagos nchini Nigeria.

No comments:

Post a Comment