Monday, February 25, 2013

KWA SHABIKI WA DOGO JANJA, CHECK OUT PICHA ZA DOGO JANJA AKIWA SOUTH AFRIKA


Msanii kutoka Arusha ambae kwa sasa makazi yake yamehamia Bongo, akiwa chini ya label ya Watanashati Entertainment akiwa kishule na kimuziki zaidi, Dogo Janja yupo jijini Cape Town, South Africa.
 
Janjaro ambae kwa sasa anatamba na ngoma yake inayokwenda kwa jina la Ya Moyoni akimshirikisha Mtanashati mwenzie, PNC bado haijafahamika kuwa ameenda nchini humo kwa ajili ya matembezi au kwa shughuli za kimuziki.

Bado tunafuatilia kwa karibu ili kujua kilichompeleka huko.

No comments:

Post a Comment