BAADA A LIL TWIST KUMFUNDISHA KUVUTA GANJA JUSTIN BIEBER, SASA APATA AJALI NA GARI YA BIEBER

Kama waswahili wanavyosema ukicheka na nyani utavuna mabua, inasemekana kama msanii kinda maarufu kutoka marekani Justin biener ataendelea kuendekeze urafiki na rapper kutoka kundi la YMCB Lil Twist basi Lil Twist atakua chanzo cha mafanikio yake kurudi nyuma. Kwani siku za karibuni Justin Bieber alilipotiwa na mitandao mbalimbali kua anavuta bangi pamoja na ushahidi wa picha ukionyesha kua ni kweli anavuta. Baada ya uchunguzi kufanyika ndipo ilipobainika kua aliyemfundisha Bieber kuvuta bangi si mwingine bali ni rapper Lil twist.

Habari Bongoclantz.com ilizozipata kutoka katika mtadao wa TMZ ni kua siku ya Jumanne Lil Twist alichukua gari ya justin bieber aina ya chromed-out Fisker Karma na kuingia nayo kitaa katika misele yake ya kawaida. Lakni katika misele hiyo Lil Twist aligongesha gari hiyo katika moja ya vipande vya simenti vinavyotumika kuonyesha mwisho wa barabara.
Baada ya tukio hilo ilikuja gari moja aina ya BMW na kupaki eneo hilola ajali na kumchukua Lil Twist. inasadikiwa mmoja wa watu waliokuwamo katika gari hiloni msanii Chriss Brown
No comments:
Post a Comment