DAR ES SALAAM MCHANA WA LEO
Ajali hii imetokea jirani kabisa la
makao makuu ya kampuni ya Airtel Tanzania eneo la Moroco jijini Dar es
Salaam mchana wa leo kabla ya mvua kuanza kunyesha ,baada ya dereva
wa lori hili kushindwa kulimudu vema gari lake na kujikuta
anatumbukia katika mtaro
Mashuhuda wakishuhudia ajali hiyo ambayo hata hivyo haijkasababisha madhara kwa binadamu



No comments:
Post a Comment