PICHA ZAIDI ZA JENGO LILILOPOROMOKA LEO HII
Mabaki ya jengo hilo lililoporomoka jijini da es salaam amablo lipo barabara ya morogoro mtaa wa indiana.Endelea kupitia audifacejackson blogspot kwa taarifa ziadi .
Wananchi
waliokuwa eneo la tukio kwa ajili ya kusaidia kukoa wakijitahidi bila
mafanikio kwa kuwa hapa ni lazima kuwepo na vifaa vya kunyanyua vitu
vizito ili kurahisisha zowzi la kuokoa.
No comments:
Post a Comment