BAADA YA MISUKUSUKO MINGI WASTARA SASA KWENDA KUPUMZIKA UARABUNI
MWIGIZAJI Nyota katika tasnia ya filamu Swahiliwood Wastara Juma ‘Stara’
amesema kuwa baada ya muda mwingi wa mihangaiko ya kuuguza na hata
kumpoteza mumewe anahitaji kupumzika na kujenga akili upya.
Katika kulifanya hilo ameamua kwenda kupumzika Uarabuni kwa ajili ya
kutuliza akili na kujipanga upya, akiongea na BK COP amesema kwa sasa
anahitaji kupumzika kwa muda…!!!!!
No comments:
Post a Comment