POMBE YA ULANZI YATOA AJIRA KWA VIJANA IRINGA
Vijana wachuuzi wa pombe ya
kienyeji aina ya Ulanzi inayotokana na mimea aina ya mianzi
wakisafirisha pombe hiyo kutoka vijijini kuelekea mjini Iringa ,debe
moja huuzwa kwa TSh 2500
Vijana wachuuzi wa pombe aina ya
ulanzi wakiwa katika baiskeli zao huku kushoto ni kijana kibarua
akifukuza ili kupata ajira ya kusukuma baiskeli mlimani kwa ujira wa
Tsh 200 kwa kila Baiskeli
Ulanzi umeweza kutoa ajira kwa vijana
mkoani Iringa kama wanavyoonekana hawa pichani wakiwa katika ajira
yao na kuajiri wengine pia




No comments:
Post a Comment