HUYU NDIO MTOTO WA WILL SMITH ANAYETOKA KIMAPENZI NA MDOGO WA KIM KARDASHIAN
Imethibitika kua mdogo wa mwanamitindo marufu nchini marekani ambaye pia ni mama kijacho wa rapper
Kanye West, Kim Kardashian. Hivi sasa anatoka kimapenzi na mtoto wa mwigizaji maarufu kutoka pande za obama
Will Smith,
Jayden Smith. Habari
BONGOCLANTZ.COM ilizozipata kutoka vyanzo mbalimbali ni kua
Jayden na
Kylie walikua marafiki wa mda mrefu kwa miaka mingina ni siku za karibuni tu ndio wameanza mahusiano hayo.
No comments:
Post a Comment